Pages


Photobucket

Monday, October 1, 2012

MTANDAO WA CRDB WAZIDI KUSAMBAA VYUONI


    CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA CBE TAWI LA DODOMA


 HUDUMA ZA KIBENKI   SASA ZINATOLEWA   NA BENKI YA CRDB KATIKA VYUO VYA ELIMU YA JUU,  AKIZUNGUMZA NA CHANZO CHETU CHA HABARI   BI.  NEEMA   ABRAHAM (AFISA WA BENKI YA CRDB TAWI LA CHAMWINO ) AMESEMA HUDUMA ZINAZOTOLEWA   NI “KUFUNGUA  AKAUNTI KWA WANAFUNZI”
AKIYATAJA MAHITAJI  HAYO   YA MSINGI  KWA  MWANAFUNZI KUFUNGUA AKAUNTI  CRDB AMEYATAJA KAMA IFUATAVYO:-
- PICHA MBILI (2) PASSPORT SIZE 
- COPY YA KITAMBULISHO CHA CHUO
- KWA WASIO NA  VITAMBULISHO WATATAKIWA KUPATA BARUA YA UTAMBULISHO KUTOKA CHUONI  NA BARUA IWE  NA PICHA, NA PICHA HIYO IWE IMEGONGWA MUHURI  NA BARUA IWE IMESAINIWA.
AU
- KWA WASIO NA VITAMBULISHO  WANAWEZA KUTUMIA PHOTOCOPY YA ADMISSION  LETTER
-KUFUNGUA  A/C  KWA WANAFUNZI NI BURE


   BI. NEEMA  IBRAHIM  AFISA WA CRDB TAWI LA CHAMWINO  MKOANI DODOMA

BW. ALPHA  NDEREYO  (KUSHOTO)  AKIPATA UFAFANUZI  KWA AJILI YA KUFUNGUA A/C , KULIA NI  BI.  NEEMA    ABRAHAM  (CRDB CHAMWINO BRANCH    OFFICER)


   SAID   ISSA  SAID (KULIA) AKIJAZA FOMU  YA CRDB KWA UMAKINI     


   

ZOEZI LA KUFUNGUA A/C CRDB LIKIENDELEA KATIKA CHUO CHA CBE-DODOMA    

BI. NEEMA    ABRAHAM  (CRDB CHAMWINO BRANCH   OFFICER)

 MR.    FRIBERTY  MKINGA    (CRDB CHAMWINO)BRANCH  OFFICER)


BW. RICHARD   NDOSI  -CBE (KUSHOTO)  AKIJAZA FOMU YA  CRDB KWA AJILI YA KUFUNGUA A/C , KULIA NI  BI.  NEEMA    ABRAHAM  (CRDB CHAMWINO BRANCH    OFFICER)

 EMMANUEL    KUSHOKA (KULIA)   AKIPEWA MAELEKEZO NA MR.    FRIBERTY   MKINGA    (CRDBCHAMWINO BRANCH  OFFICER)

ZOEZI LA KUFUNGUA A/C CRDB LIKIENDELEA KATIKA CHUO CHA CBE-DODOMA    

No comments:

Post a Comment