Pages


Photobucket

Friday, October 19, 2012

BRAKINGNEWZZZZZZZZZ : KARIAKOO JIJINI DAR ES SALAAM YAGEUKA NA KUWA KAMA SYRIA

HALI BADO SI SHWARI  JIJINI DAR ES SALAAM KUTOKANA NA MILIO YA MABOMU KUSIKIKA MAENEO MBALIMBALI JIJINI HAPA HUSUSANI ENEO ZIMA LA KARIAKOO,HATUA HII INAFIKIWA IKIWA NI MIONEKANO MBALIMBALI YA  MAKUNDI YA KIISLAM   YAKIONEKANA KUWA NA NIA YA KUANDAMANA  MARA BAADA YA KUTOKA MISIKITINI HALI AMBAYO INAPELEKEA JESHI LA POLISI KUTUMIA MABOMU  KWA LENGO  LA KUZIMA HATUA HIYO.
KUFUATIA  HALI HII   ZAIDI  YA MAGARI  MANNE YA JESHI LA WANANCHI  YAMEONEKANA (MUDA HUU)  ENEO LA 
 LA KINONDONI  MSIKITI WA MTAMBANI NA MENGINE KUELEKEA MAENEO MENGINE YA JIJI, 
KUFUATIA HALI HII  BAADHI YA WATU WAMEFUNGA BIASHARA ZAO KATIKA BAADHI YA MAENEO  HAPA JIJINI.

No comments:

Post a Comment