Pages


Photobucket

Monday, October 29, 2012

WAZIRI WA MAENDELEO YA JAMII,JINSIA NA WATOTO APOKELEWA WIZARANI BAADA YA UCHAGUZI WA UWT TAIFA


Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto Mhe. Sophia Simba akipokea shada la maua kutoka kwa Mkurugenzi Msaidizi Bi. Judith Kizenga mara baada ya kupokelewa Wizarani hapo baada ya ushindi wake wa Uenyekiti wa UWT Taifa
Mhe.Waziri Sohia Simba akisalimiana na Watumishi wa Wizara
Mhe.Sophia Simba,Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto akiwasikiliza kwa makini Watendaji wakuu wa wizara mara baada ya mapokezi
Mhe.Sophia Simba Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto ambaye pia ni Mwenyekiti wa UWT Taifa akiwashukuru Watendaji wa Wizara kwa mapokezi mazuri Wizaran hapo
Watumishi wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto wakisubiri kumpokea Mhe.Sophia Simba baada ya kushinda nafasi ya Mwenyekiti wa UWT Taifa

No comments:

Post a Comment