Pages


Photobucket

Thursday, October 25, 2012

RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA KAZI KWA MAWAZIRI NA MAAFISA WAANDAMIZI WA SERIKALI


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha kazi (retreat)  cha siku tatu cha Mawaziri, Manaibu Mawaziri na maafisa waandamizi wa serikali wanaokutana kujadili mikakati endelevu na utekelezaji wa sasa na wa baadae katika ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma. Pamoja naye meza kuu ni Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali (kulia) na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue.
Waziri wa Makongoro Mahanga akitoa mada ya wizara yake katika kikao cha kazi  (retreat) cha siku tatu cha Mawaziri, Manaibu Mawaziri na maafisa waandamizi wa serikali  kujadili mikakati endelevu na utekelezaji wa sasa na wa baadae katika ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. George Yembesi akifafanua juu ya Waraka wa Utumishi Namba 5 wa mwaka 2009 kuhusu matumizi bora na salama ya vifaa na mifumo ya teknolojia ya habari na mawasiliano (TEKNOHAMA) serikalini kwa  wajumbe kikao cha kazi (retreat)  cha siku tatu cha Mawaziri, Manaibu Mawaziri na maafisa waandamizi wa serikali  kujadili mikakati endelevu na utekelezaji wa sasa na wa baadae katika  ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma.PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment