Pages


Photobucket

Monday, October 29, 2012

MKE WA WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA ,MAMA TUNU ALIPOTUNIKIWA SHAHADA YA UONGOZI WA BIASHARA


Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, John Samwel Malecela akimtunuku Shahada ya Uongozi wa Biashara, Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda katika Mahafali ya Chuo Kikuu Huria yaliyofanyika kwenye viwanja vya Chuo hicho Kibaha Oktoba 27, 2012.Kulia ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda
Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, John Samwel Malecela akimtunuku Shahada ya Uongozi wa  Biashara, Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda katika Mahafali ya Chuo Kikuu Huria  yaliyofanyika kwenye viwanja vya Chuo hicho Kibaha Oktoba 27, 2012.
 Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akipokea zawadi ya ua kutoka wadogo zake Salma Rehani (kulia), Mkaroga Rehani (wapili kulia) na Mabe Rehani baada ya kutunukiwa Shahada ya Uongozi wa Biashara katika mahafali ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania yaliyofanyika kwenye vianja vya Chuo hicho, Kibaha Oktoba 27, 2012
 Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akiwa na baadhi ya wahitimu wa mahafali hayo yaliyofanyika jana Kibaha mkoani Pwani
 Baadhi ya Wahitimu wa Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania Wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipowahutubia kwenye mahafali ya Chuo hicho yaliyofanyika Kibaha, Oktoba 27, 2012.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment