Pages


Photobucket

Friday, October 26, 2012

RAIS DK SHEIN ASHIRIKI SALA YA EID EL HAJJ

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Ali Mohamed Shein,pamoja na Viongozi wengine wakijumuika na waislamu na wananchi katika  swala ya EID el Hajj katika Msikiti wa Mwembeshauri Mjini Zanzibar Leo.
Baadhi ya Waislamu na wananchi wakisikiliza Hotuba,baada ya Swala ya Eid el Hajj iliyotolewa na Sheikh Soraga,katika Msikiti wa Mwembeshauri Mjini Zanzibar Leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na waumini ya Dini ya Kiislamu baada ya kuswali swala ya  EID el Hajj katika Msikiti wa Mwembeshauri Mjini Zanzibar Leo.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.

No comments:

Post a Comment