Pages


Photobucket

Saturday, October 20, 2012

RAIS KIKWETE AMALIZA ZIARA YA OMANI NA KUREJEA TANZANIA (JANA)

Rais Kikwete akilakiwa na Makamu wa Rais Dkt Bilal jana katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mara alipowasili kutoka katika ziara rasmi ya siku nne nchini Oman. (Picha: IKULU)
 Rais Kikwete akisalimiana na baadhi ya wananchi waliojitokeza kumpokea jana katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mara alipowasili kutoka katika ziara rasmi ya siku nne nchini Oman.
Rais Kikwete akisalimiana na Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova janakatika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mara alipowasili kutoka katika ziara rasmi ya siku nne nchini Oman.

No comments:

Post a Comment