Pages


Photobucket

Wednesday, October 17, 2012

SENEGAL IMETUPWA NJE YA KINYANG'ANYIRO CHA KUWANIA KOMBE LA TAIFA BINGWA BARANI AFRIKA


 Tangazo hilo, linajiri baada ya shirikisho la soka barani Afrika kuipa ushindi wa mabao mawili Ivory Coast kufuatia vurugu za siku ya Jumamosi zilizosababishwa na mashabiki wa Senegal
Vurugu hizo zilisababisha kufutiliwa mbali kwa mechi kati ya nchi hizo mbili wakati Ivory Coast ikiwa na mabao mawili bila dhidi ya Senegal katika uwanja wa Dakaar.
Ivory Coast sasa itashiriki katika michuano ya kuwania kombe hilo itakayofanyika nchini Afrika Kusini mwezi Januari.

No comments:

Post a Comment