Pages


Photobucket

Saturday, October 20, 2012

ORLANDO CRUZ BONDIA WA KWANZA KUJITANGAZA KWAMBA ANAJIHUSISHA NA MAPENZI YA JINSIA MOJA


Orlando Cruz raia wa Puerto Rican aliyezaliwa  tarehe 01/07/1981 , amekuwa Bondia wa kwanza kujitangaza wazi kwamba  anajihusisha  na mapenzi ya jinsia moja ,Ingawa awali alikuwa na wasiwasi jinsi mashabiki wake watakavyochukulia hali hii kwa sababu mchezo huu una hesabika kuwa ni mchezo wa nguvu lakini namna  alivyo ungwa mkono kwa wanamichezo na  mashabiki duniani kote imempa faraja kubwa .Bw. Cruz anasema "Muda mrefu nimekuwa nikijihusisha na mambo haya miaka 12 sasa, nimeamia  NewYork miaka 4 iliyopita ambapo pia nilipatiwa matibabu ya kisaikolojia ,Kitu kimoja nahitaji watu waelewe, ninachohitaji ni kuheshimiwa mimi ni mwana michezo, ni mwanamichezo wa kulipwa na maisha yangu yanategemea michezo pia"
Orlando Cruz  kutoka ratin Amerika bondia mwenye  uzito wa unyoya, hupendelea kuchanganya  kionjo cha kusakata dansi wakati wa mazoezi yake.


 

No comments:

Post a Comment