Pages


Photobucket

Monday, October 15, 2012

MHADHIRI WA KWANZA UGANDA AFARIKI DUNIA



 MAREHEMU PROFESA JOSEPH  KAKOOZA

Profesa wa kwanza kuongoza kitivo cha sheria  kwenye chuo kikuu cha  Makere nchini  uganda  Amefariki Dunia akiwa na Umri  wa Miaka 82.
Profesa huyo ambaye alikuwa anafundisha  katika chuo cha Makerere  alifariki dunia kwa kusumbuliwa na ugonjwa  wa saratani  ambao ulikuwa ukiathiri ini na figo.
Katika uhai wake ,Profesa kazooka aliwahi kuwa mkuu wa kitengo cha sheria katika chuo kikuu cha Nkumba, na kuwa profesa wa kwanza nchini Uganda kusoma sheria katika chuo cha Havard mwaka 1967

No comments:

Post a Comment