Pages


Photobucket

Wednesday, October 10, 2012

MKUTANO WA 22 WA MWAKA WA WANACHAMA NA WADAU WA PPF WAFUNGULIWA LEO JIJINI ARUSHA


                              Wadau wakiwa katika mkutano
             Mgeni Rasmi katika Mkutano wa 22 wa Mwaka wa Wanachana na Wadau wa PPF,Naibu Waziri wa Fedha,Mh. Saada Mkuya Salim akitoa hotuba yake wakati akifungua mkutano huo unaofanyika leo kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,jijini Arusha.
 Mkurugenzi Mkuu wa PPF,William Eriyo akizungumza machache na kutoa utambulisho wa baadhi ya viongozi wakuu wa PPF wakati wa Mkutano wa 22 wa Mwaka wa Wanachana na Wadau unaofanyika kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,Jijini Arusha leo.

Waziri wa Kazi na Ajira,Mh. Gaudencia Kabaka akipokea tuzo na cheti kwa niaba ya Dk. Shukuru Kawambwa ambaye amepata tuzo hiyo kwa kuwa mstari wa mbele kwenye malipo ya PPF.


 Wakurugenzi wa Mashirika ya Hifadhi za Jamii nchi za Jirani,wakiongozwa na Bi. Magreth Osure (katikati) ambaye ni Mwenyekiti wa Umoja wa Mashirika ya Hifadhi za Jamii kwa nchi za Afrika Mashariki na Kati.


Wafanyakazi wa Benki Kuu wakiwa kwenye Picha cha Pamoja na Uongozi mzima ulopo meza kuu.
    Picha ya Pamoja na Wakurugenzi wa Mashirika Mbali mbali ya Hifadhi za Jamii.
MC anaeongoza Mkutano huo,Bw. Mavunde 





*********chanzo cha habari MICHUZI BLOG**********

No comments:

Post a Comment