Pages


Photobucket

Wednesday, October 10, 2012

KUANGUSHWA KWA DR.NAGU MENGI YAZUNGUMZWA


   Dk.MEERRY NAGU

Baada ya kubwagwa katika kinyang'anyiro cha  nafasi ya  mjumbe wa  Baraza kuu la  Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)  kupitia mkoa wa manyara , Baadhi ya Wanachama wa CCM Mkoani Dar es salaam wamepokea matokeo hayo kwa mitazamo Tofauti, Wengi wao ambao walikuwa vijana waliobahatika kuzungumza  na Vyanzo vyetu vya  Habari wamesema  imefika wakati kwa  Wana CCM kukubaliana na Matokeo  ya chaguzi zinanoendelea ikiwa ni pamoja na kuoendoa chuki miongoni mwa wanasiasa ambao  mara  nyingi wanaposhindwa/kushinda huwa wana  leta mpasuko miongoni mwao.
Ikumbukwe kwamba  Dk. Nagu katika uchaguzi  huo alipata kura  139 kati ya kura 391 zilizopingwa ,wakati huo mpinzani  Bi. Martha Umbulla  ambaye pia ni  Mbunge kupitia viti maalumu alipata kura  252 na hivyo kumshinda Mh DK. Nagu


No comments:

Post a Comment