Pages


Photobucket

Monday, October 8, 2012

SAKATA LA UCHAGUZI WA NEC, FREDRICK SUMAYE AFUNGUKA

 Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye akizungumza na waandishi wa habari katika mkutano wake huo, jijini Dar es Salaam leo kuhusu uchaguzi wa NEC, wilayani Hanang uliofanyika hivi karibuni na kuambulia patupu baada ya kushindwa katika uchaguzi huo.
   Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye akisisitiza jambo wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu uchaguzi wa NEC wilayani Hanang uliofanyika hivi karibuni na kuambulia patupu baada ya kushindwa katika uchaguzi huo. Hata hivyo Mh. Sumaye alilalamikia vitendo vya rushwa vilivyokuwa vimetawala katika uchaguzi huo

Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye akisisitiza jambo wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari, jijini Dar es Salaam leo, kuhusu uchaguzi wa NEC, uliofanyika wilayani Hanang uliofanyika hivi karibuni.


*****Vyanzo vya habari ni  http://www.bayanablogspotcom.blogspot.com  ***********

No comments:

Post a Comment