Mwakilishi wa WIPO Neema Nyerere akizungumza wakati wa utilianaji wa
saini hiyo wakati akiiwakilisha WIPO kusimamiaa kuitangaza Karafuu ya
Zanzibar katika Soko la Dunia,wkati wa utiaji wa saini hiyo iliosainia
na Waziri wa Biashara kwa niaba ya Serekali ya Mapinduzi Zanzibar.
Waziri wa Biashara Nassor Mazrui akibadilishana mikataba na Mwakilishi
wa ITC jACKY Charbounneau,baada ya kusaini makabaliano hayo yaliofanyika
katika ukumbi wa hoteli ya Grand Palace Malindi.
Kwa taswira zaidi tembelea ZanziNews
No comments:
Post a Comment