Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa 
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Viongozi katika
 Taasisi ya Kimataifa ya Sayansi ya Wanyama nje ya Mji wa Vietnam, akiwa
 katika ziara ya rasmi ya Kiserikali na ujumbe wake,katika kukuza 
uhusiano na Mashirikiano.[Picha na Ramadhan Othman,Viet Nam.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa 
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kushoto) Mama Mwanamwema 
Shein, Waziri wa Kazi, uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika Haroun 
Ali Suleiman,pamoja na maafisa aliofuatananao wakisikiliza 
taariakisalimiana na Viongozi katika Taasisi ya Kimataifa ya Sayansi ya 
Wanyama nje ya Mji wa Vietnam, akiwa katika ziara ya rasmi ya Kiserikali
 na ujumbe wake,katika kukuza uhusiano na Mashirikiano. (Picha na 
Ramadhan Othman,Viet Nam)
Ujumbe wa Serikali ya mapinduzi ya 
zanzibar,na Viongozi wa Taasisi ya Kimataifa ya Sayansi ya 
Wanyama,wakisikiliza Taarifa ya tafiti mbali mbali zilizofanywa na 
Taasisi hiyo,zilizotolewa wakati ujumbe huo ulipowasili kituoni hapo 
katika kukuza uhusiano na ushirikiano baina ya pande hizo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa 
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kulia) akipata maelezo kutoka 
kwa Msaidizi Mkuu wa Taasisi ya Kimataifa ya Sayansi ya Wanyama Vu Chi 
Cuong,alipotembelea mabanda ya ufugaji wa kuku wa nyama na Mayai,akiwa 
katika ziara kiserikali nchini Vietnam.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed 
Shein,(katikati) na Ujumbe wake wakipata maelezo kutoka kwa Mtembezaji 
wageni katika makumbusho ya Maandishi ya kale,Nguyen Thi Hang, wakiwa 
katika Ziara ya Kiserikali Nchini Viet Nam.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed 
Shein,(katikati) na Ujumbe wake wakipata maelezo kutoka kwa Mtembezaji 
wageni katika makumbusho ya Maandishi ya kale,Nguyen Thi Hang,wakiwa 
katika Ziara ya Kiserikali Nchini Viet Nam.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed 
Shein,(katikati) na Ujumbe wake wakiwa katika picha ya pamoja na 
Mtembezaji wageni katika makumbusho ya Maandishi ya kale,Nguyen Thi 
Hang,(wa sita kati) baada ya kutembelea sehemu mbali mbali kumbusho 
hilo,wakiwa katika Ziara ya Kiserikali Nchini Viet Nam.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed 
Shein,(katikati) na Mama Mwanamwema Shein,(kushoto) na Mtembezaji wageni
 katika makumbusho ya Maandishi ya kale,Nguyen Thi Hang,wakiwa katika 
picha baada kutembelea sehemu mbali mbali kumbusho hilo,wakiwa katika 
Ziara ya Kiserikali Nchini Viet Nam.
 
 

No comments:
Post a Comment