Mshambuliaji wa timu ya Kilimajaro
 Stars, Simon Msuva (12) akichanja mbuga baada ya kumtoka beki wa timu 
ya Sudani, Faris Abdallah wakati wa mchezo wa michuano ya Challenge 
uliofanyika kwenye Uwanja wa Mandela Jijini Kampala,Uganda 
jana.Kilimajaro Stars imeshinda bao 2-0.
Erasto Nyoni wa Kilimanjaro Stars 
(4) na beki wa timu ya Sudan, Faris Abdallah wakiwania mpira wakati wa 
mchezo wa michuano ya Chalenge uliochezwa jioni ya jana katika Uwanja wa
 Mandela Jijini Kampala,Uganda.Kilimajaro Stars imeshinda bao 2-0.
Mshambuliaji wa timu ya 
Kilimanjaro Stars, Mrisho Ngassa akikokota mpira uliozaa goli la pili 
wakati wa mchezo wa Cecafa Challenge 2012 dhidi ya Sudan uliochezwa 
katika Uwanja wa Mandela Jijini Kampala jana jioni
Kilimanjaro Stars wakishangilia 
goli la kwanza lililofungwa na John Bocco wakati wa mchezo dhidi ya 
Sudan katika michuano ya CECAFA Challenge katika Uwanja wa Mandela 
Jijini Kampala.
Mashabiki wa timu ya Kilimanjaro 
Stars waliosafiri kutoka mkoani Kagera wakishangilia baada ya kufungwa 
kwa goli la kwanza wakati wa mchezo wa Cecafa Challenge 2012  dhidi ya 
Sudan uliochezwa katika Uwanja wa Mandela Jijini Kampala jana.Kilimajaro
 Stars imeshinda bao 2-0.
 
 

No comments:
Post a Comment