Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed 
Shein,akisalimiana na Rais wa Vietnam Truong Tan Sang,alipofika Ikulu ya
 Nchi hiyo akiwa na ujumbe wake katika ziara
rasmi ya kiserikali ya kuimarisha uhusiano na ushirikiano baina ya pande mbili hizi

Shein,akiagana na Waziri Mkuu wa Nchini Vietnam Le Hong Anh,baada ya 
kumaliza mazungumzo yao alipofika katika Ofisi ya Waziri huyo nchini 
Vietnam, akiwa katika ziara rasmi ya Kiserikali katika kuimarisha 
uhusiano na ushirikiano baina pande mbili hizo. Picha na Ramadhan Othman,Vietnam.
 
No comments:
Post a Comment