Mwalimu Chritopher Mwakasege amingia jana Washington, DC na leo Ijumaa 
November 23, 2012 kuanzia saa 4 asubuhi ET ameongea na viongozi 
mbalimbali wa dini kutoka majimbo mbalimbali waliofika Washington, DC 
tayari kuanza semina itayoaanza leo jioni kuanzaia saa 10 jioni (4pm ET)
 kwenye hoteli ya Hiilton iliyopoa Greenbelt, Maryland 7810 Waker DR, 
Greenbelt, MD 
Jackson Mollel kiongozi kutoka Minnesota akiongea machache na kutoa 
utambulisho kwa viongozi wengine walifika Washington, DC kutoka kila 
kona ya Amerika.   
Ps. Samson Ananiah kutoka Minnesota akiimba wimbo akishirikiana 
namchungaji Malekela kutoka Washington, DC kabla ya mkutano kuanza.
 Juu na chini ni Viongozi mbalimbali wa dini kutoka majimbo mbalimbali 
yaliyopo hapa Marekani wakiwa kwenye mkutano na Mwalimu Mwakasege 
uliofanyika leo Hilton Hotel Greenbelt, Maryland. Kwa picha zaidi 
tembelea Vijimambo.Blog 
 
 

No comments:
Post a Comment