Katibu Mkuu mpya wa CCM, Abdulrahman Kinana, akimsalimia Nyakia Ali wa 
Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), alipokaribishwa na 
Wafanyakazi wa Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es 
Salaam, baada ya kuwasili kwa ajili ya kuripoti kwa mara ya kwanza tangu
 kuteuliwa kwake.
 Kinana akisaini kitabu, baada ya kuingiza Ofisi yake ya Ukatibu Mkuu wa
 CCM, Ofisi Ndogo ya Mako Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam.
Kinana akiwa na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye Ofisini kwake jana. 
 
 




No comments:
Post a Comment