Pages


Photobucket

Wednesday, November 21, 2012

MAANDALIZI YA SHEREHE ZA MAHAFALI YA TATU YA CHUO KIKUU CHA DODOMA


Banner likiwa limebandikwa mjini kabisa
Sehemu ya Viongozi wa Juu wa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) watakapokaa leo wakati wa sherehe za Mahafali ya Tatu ya Chuo Kikuu cha Dodoma yanayotarajia kufanyika leo tarehe 21 na kesho tarehe 22 Novemba 2012 katika viwanja vya Chimwaga Vilivyopo Chuo Hapo
 Baadhi ya Sehemu watakazokaa Wahitimu Wa Kozi Mbalimbali wa Chuo Kikuu Cha Dodoma katika mahafali ya tatu ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) yanatarajia kufanyika leo tarehe 21 na kesho tarehe 22 Novemba 2012 katika Viwanja vya Chimwaga vilivyopo Chuoni Hapo

No comments:

Post a Comment