Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed 
Shein, akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif 
Ali Iddi, baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid
 Amani Karume Zanzibar.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akimuelezea 
jambo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali 
Mohamed Shein, alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid 
Amani Karume, akitokea ziarani nchi Vietinam.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed 
Shein, akisalimiana na Viongozi wa Serekali waliofika kumpokea katika 
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume.
Waandishi wa habari wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa 
Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumzia ziara yake 
Nchini Vietinam na mafanikio ya ziara hiyo kwa Zanzibar na Wananchi 
wakev katika sekta ya Biashara na Uvuvi.
Chanzo ZanziNews 
 
 

No comments:
Post a Comment