Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati za utambulisho toka kwa Balozi wa 
Iran nchini Mhe Mehdi Agha Jafari leo Novemba 21, 2012 Ikulu jijini Dar 
es salaam.
Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Balozi wa Iran nchini Mhe Mehdi Agha 
Jafari baada ya kupokea hati zake za utambulisho leo Novemba 21, 2012 
Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati za utambulisho toka kwa Balozi wa 
Canada nchini Mhe Alexandre Leveque leo Novemba 21, 2012 Ikulu jijini 
Dar es salaam.
Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Canada 
nchini Mhe Alexandre Leveque leo Novemba 21, 2012 Ikulu jijini Dar es 
salaam.
Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Balozi wa Iran nchini Mhe Mehdi Agha 
Jafari baada ya kupokea hati zake za utambulisho leo Novemba 21, 2012 
Ikulu jijini Dar es salaam. 
Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Balozi wa Canada nchini Mhe Alexandre
 Leveque baada ya kupokea hati zake za utambulisho leo Novemba 21, 2012 
Ikulu jijini Dar es salaam. 
Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ujumbe maalumu toka kwa Rais Ali Bongo 
wa Gabon uliowasilishwa leo na Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko Maalumu wa 
Uwekezaji wa nchi hiyo Bw. Serge Mickoto leo Novemba 21, 2012 Ikulu 
jijini Dar es salaam.
Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete akipitia ujumbe maalumu kutoka kwa Rais Ali Bongo
 wa Gabon leo Novemba 21, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam uliowasilishwa
 na Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko Maalumu wa Uwekezaji wa nchi hiyo Bw. 
Serge Mickoto leo Novemba 21, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam.PICHA NA 
IKULU.
 
 









No comments:
Post a Comment