Pages


Photobucket

Thursday, November 22, 2012

Utafiti: Umaarufu Wa JK Waporomoka ( MWANANCHI)


KUONGEZEKA kwa matukio ya rushwa nchini kumesababisha umaarufu wa Rais Jakaya Kikwete kushuka kwa asilimia 20 katika miaka minne iliyopita, utafiti mpya unaonyesha. Utafiti uliofanywa na Taasisi ya Utafiti wa Kupunguza Umaskini (REPOA) kati ya Mei na Juni 2012 unaonyesha kwamba kiwango cha Rais Kikwete kukubalika kimeshuka kutoka asilimia 90 mwaka 2008 hadi asilimia 71 mwaka huu. Pia, mwaka huu watu saba kati ya kumi walioshiriki katika utafiti huo waliihusisha ofisi ya Rais kwa rushwa na kwamba hali hiyo ni tofauti na mwaka 2008 ambapo walikuwa watu watano kati ya 10, utafiti huo ulieleza. Rais Kikwete ambaye hivi karibuni.... Soma zaidi... http://www.kwanzajamii.com

No comments:

Post a Comment