Pages


Photobucket

Friday, November 2, 2012

WATOTO WAWILI WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI IMEZU INYALA MBEYA WAGONGWA NA ROLI NA KUFARIKI PAPO HAPO


Miili  ya wanafunzi wa shule ya msingi imezu ikichukuliwa na wanausalama watoto hao walikuwa wakivuka barabara akielekea shuleni ndipo roli hilo lilipowagonga na kukimbia huku miili ya watoto hao ikiwa imetawanyika vipandevipande ajali hiyo imetokea mida ya saa moja na nusu asubuhi
Waanchi kwa hasira wameamua kufunga barabara hiyo wakimtaka mkuu wa mkoa mbeya aje afike eneo la tukio  wamweleze kero zao za barabara hiyo kwani sasa inawamaliza wanakijiji hao kwa ajali za mara kwa mara katika eneo hilo

No comments:

Post a Comment