|  | 
| Asha Baraka akiwa ndani ya banda la gazeti la Uhuru kwenye viwanja vya Kizota Dodoma. | 
|  | 
| Viwanja vya Kizota vikiwa vimefurika wajumbe na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi | 
|  | 
| Biashara za aina nyingi zikiwa zimetanda kila kona. | 
|  | 
| Ukumbi ukiwa umefurika wananchama na wajumbe wa Chama. | 
|  | 
| Waalikwa kutoka vyama vya upinzani. | 
|  | 
| Wajasiriamali hawakuwa nyuma kuuza bidhaa zao, Mkutano Mkuu wa nane wa CCM ulioanza leo umefungua fursa pekee kwa wafanyabiashara wadogo wadogo. | 
|  | 
| Huduma za vyakula vya aina zote zinapatikana Kizota,eneo ambalo CCM inafanya Mkutano Mkuu wa nane. | 
|  | 
| Wajumbe kutoka Mbeya wakionyesha ukakamavu wao kwenye ukumbi wa Mkutano Kizota leo. | 
 
 

No comments:
Post a Comment