Pages


Photobucket

Tuesday, November 13, 2012

MWENYEKITI WA CCM,RAIS JAKAYA KIKWETE AKISALIMIANA NA MWENYEKITI WA TLP AUGUSTINE LYATONGA MREMA


 Mwenyekiti wa CCM,Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na kiongozi wa chama cha upinzani cha TLP Augustine Lyatonga Mrema wakati wa sherehe za ufunguzi wa mkutano mkuu wa nane wa CCM uliofanyika katika ukumbi wa Kizota mjini Dodoma

No comments:

Post a Comment