Pages


Photobucket

Monday, November 5, 2012

YANGA YAONGOZA LIGI, SIMBA YASHANGAA BWAWA LA MINDU


 Wachezaji wa Yanga pamoja na Azam wakiingia Uwanjani. (Picha zote na Habari Mseto Blog)
  Benchi la Ufundi la timu ya Azam
 Benchi la ufundi la timu ya Yanga
 Mshambuliaji wa Yanga, Didier Kavumbagu akiipangua ngome ya Azam kabla ya kuachia kiki kali na kuipatia timu yake bao la kwanza.
 Mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva (kushoto) akichuana na beki wa Azam, FC, Said Morad katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Yanga ilishinda 2-0.
 Wachezaji wa Yanga wakishangilia
 Mshambuliaji wa Yanga Hamisi Kiiza akiwaongoza wachezaji waenzake kushangilia bao la kwanza la lililofungwa na Didier Kavumbagu (kushoto) wakati wa mchezo wa Ligu Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga ilishinda 2-0.
 Golikipa wa Azam, Ally Mwadini akiokoa moja ya hatari zilizoelekezwa langoni mwake wakati wa mchezo wao dhidi ya Yanga.
 Kikosi cha Yanga
 Kikosi cha Azam
Raha ya ushindi, hureeeeeeeeeeee
Balozi wa Fifa, Abeid Pele (wa pili kushoto) akiwa na baadhi ya viongozi wa TFF pamoja na Mwenyekiti wa TASWA, Juma Pinto wakati alipohudhuria mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara kati ya Yanga na Azam FC kwenye uliuofanyika jana Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Pele yupo nchini kwa  ajili ya programu za Shirikisho la Soka Duniani (FIFA). 

No comments:

Post a Comment