Pages


Photobucket

Thursday, November 1, 2012

RAIS KIKWETE KATIKA MAZISHI YA MAMA LUCY ADAM JIJINI ARUSHA JANA


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na waombolezaji nyumbani kwa Marehemu Lucy Adam Samilah Mtaa wa Haile Selassie jijini Arusha jana



  
Jeneza lenye mwili wa Marehemu Lucy Adam Samilah likiwasili katika makaburi ya Njiro kwa mazishi
 Baba Mchungaji akiongoza maombi ya mazishi
Jeneza likiteremshwa kaburini
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima zake za mwisho 
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitia saini kitabu vha maombolezo 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa pole kwa watoto wa marehemu
Waombolezaji  
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka mchanga kaburini 
 Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda akiweka mchanga kaburini
  Mkuu wa Mkoa wa Arusha akiweka mchanga kaburini
 Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro akiweka mchanga kaburini
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha akiweka mchanga kaburini
 
 
****chanzo cha habari: IKULU BLOG *****

No comments:

Post a Comment