Pages


Photobucket

Tuesday, November 6, 2012

NEWS ALERT: KUTOKANA NA ONGEZEKO LA BEI ZA MAFUTA JIJINI MBEYA, VIJANA WAFUNGA BARABARA KUU IENDAYO ZAMBIA ENEO LA MAMA JOHN KWA MUDA WA SAA MOJA.


HIVI NDIVYO BARABARA ILIVYO ANZA KUFUNGWA MAENEO YA MAMA JOHN ASUBUHI YA LEO 
GARI LA SERIKALI LIKIWA LIMEPAKI HAPA LIKISHINDWA JINSI YA KUTOKA 
HAPA NI BALAA TUPU VIJANA WANAENDELEA KUZIBA NJIA 
KAZI YAO YA KUZIBA NJIA INAENDELEA HAPA 




HAWA VIJANA WANAKOMAA NA HILI JIWE KUBWA KUELEKEA KUZIBA BARABARA 
HAPA GARI HILI LIKIWA LINAPITA PEMBENI BAADA YA NJIA KUZIBA 
MAMA NA MTOTO WAKIWA WANAKIMBIA KUKWEPA MAGARI 
HAWA VIJANA HAWASIKILIZI MTU WANAENDELEZA KUPANGA MAWE  
HALI ILIKUWA TETE HAPA AMBAPO VIJANA HAWA WALIAMUA KUENDELEA KUZIBA NJIA  MPAKA NA MITI
GARI LA MWANANCHI LIKIWA LIMEKWAMA KUENDELEA NA SAFARI ZAKE BAADA YA VIJANA KUZIBA NJIA 


FOLENI KUBWA ILIYO SABABISHWA NA VIJANA KUZIBA NJIA 
USALAMA WAKIWA WAMEFIKA ENEO HILO BAADA YA LISAA LIMOJA KUPITA 
HAPA USALAMA  ASKARI WA USALAMA WA BARABARANI WAKIWA WANAJITAHIDI KUWEKA MAMBO SAWA 
HAPA WAMEONGEZEKA HUKU WAKITAFUTA NJIA YA KUTOA MAWE


ASKARI WA USALAMA WA BARABARANI WAKIENDELEA KUWEKA MAMBO SAWA 
MAGARI MAKUBWA NAYO YAMEKWAMA 

HAPA NI KITUO CHA MAFUTA MAMA JOHN HALI ETE PIA YA MAFUTA 

PICHA ZOTE NA MBEYA YETU BLOG

No comments:

Post a Comment