 Waziri
 wa maliasili za Utalii Balozi Khamis Kagasheki akihojiwa na kituo cha 
Televisheni ya Taifa TBC mara baada ya kutembelea mabanda ya makampuni 
ya Tanzania yanayoshiriki katika maonyesho ya Utalii ya World Travel 
Market yanayoandaliwa na kufanyika katika eneo la Excell jijini London 
nchini Uingereza, yakishirikisha makampuni mbalimbali ya utalii kutoka 
pande zote za dunia, Mwaka huu Tanzania inawakilishwa na makampuni zaidi
 ya 55 yakiwa chini ya Bodi ya Utalii nchini Tanzania (TTB).
Waziri
 wa maliasili za Utalii Balozi Khamis Kagasheki akihojiwa na kituo cha 
Televisheni ya Taifa TBC mara baada ya kutembelea mabanda ya makampuni 
ya Tanzania yanayoshiriki katika maonyesho ya Utalii ya World Travel 
Market yanayoandaliwa na kufanyika katika eneo la Excell jijini London 
nchini Uingereza, yakishirikisha makampuni mbalimbali ya utalii kutoka 
pande zote za dunia, Mwaka huu Tanzania inawakilishwa na makampuni zaidi
 ya 55 yakiwa chini ya Bodi ya Utalii nchini Tanzania (TTB). Waziri
 aliasili na Utalii wa Balozi Khamis Kagasheki akisalimiana na Issa 
Ahmed Othman Mshauri wa Rais masuala ya Utalii Zanzibar wakati 
alipotembelea banda la Tanzania katika maonyesho ya  utalii ya (WTM) 
jijini London  leo nchini Uingereza
Waziri
 aliasili na Utalii wa Balozi Khamis Kagasheki akisalimiana na Issa 
Ahmed Othman Mshauri wa Rais masuala ya Utalii Zanzibar wakati 
alipotembelea banda la Tanzania katika maonyesho ya  utalii ya (WTM) 
jijini London  leo nchini Uingereza Waziri
 Balozi Khamis Kagasheki akizungumza na Leila Ansel Mkuu wa mauzo na 
masoko kampuni ya Tanzania Zara Adventures wakati alipotembelea  katika 
banda hilo leo kwenye maonyesho ya utalii ya WTM nchini Uingereza.
Waziri
 Balozi Khamis Kagasheki akizungumza na Leila Ansel Mkuu wa mauzo na 
masoko kampuni ya Tanzania Zara Adventures wakati alipotembelea  katika 
banda hilo leo kwenye maonyesho ya utalii ya WTM nchini Uingereza.  Yvone
 Baldwin Afisa mauzo wa kampuni ya ndege ya Precision Air akimkabidhi 
zawadi Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Mh. Peter Kallaghe mara baada
 ya kutembelea banda hilo leo akiongozana na Waziri wa Maliasili Balozi 
Khamis Kagasheki.
Yvone
 Baldwin Afisa mauzo wa kampuni ya ndege ya Precision Air akimkabidhi 
zawadi Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Mh. Peter Kallaghe mara baada
 ya kutembelea banda hilo leo akiongozana na Waziri wa Maliasili Balozi 
Khamis Kagasheki. Waziri
 wa Maliasili Balozi Khamis Kagasheki  akizungumza na Rashid Adam Meneja
 Masoko wa Tanzania Zara Adventures wakati alipotembelea maonyesho  ya 
Utalii ya WTM katika banda la Tanzania leo jijini London, wa pili kutoka
 kushoto ni Mh. Peter Kallaghe Balozi wa Tanzania nchini Uingereza na 
katikati ni mama Balozi.

katikati ni mama Balozi. Waziri
 Balozi Khamis Kagasheki akizungumza na Laura Meneja wa Maendeleo ya 
Biashara kampuni ya Laitolya Tours & Safari Ltd kushoto wakati 
alipotembelea banda la kampuni hiyo kwenye maonyesho ya WTM leo, kulia 
ni Mkurugenzi wa Masoko wa Bodi ya Utalii Tanzania TTB Devotha Mdachi.
Waziri
 Balozi Khamis Kagasheki akizungumza na Laura Meneja wa Maendeleo ya 
Biashara kampuni ya Laitolya Tours & Safari Ltd kushoto wakati 
alipotembelea banda la kampuni hiyo kwenye maonyesho ya WTM leo, kulia 
ni Mkurugenzi wa Masoko wa Bodi ya Utalii Tanzania TTB Devotha Mdachi. Mkurugenzi
 wa Masoko wa Bodi ya Utalii Tanzania TTB Devotha Mdachi akiwahudumia 
watu mbalimbali waliotembelea katika banda la Tanzania leo katika 
maonyesho ya Utalii ya WTM jijini London Uingereza
 Mkurugenzi
 wa Masoko wa Bodi ya Utalii Tanzania TTB Devotha Mdachi akiwahudumia 
watu mbalimbali waliotembelea katika banda la Tanzania leo katika 
maonyesho ya Utalii ya WTM jijini London Uingereza  Meneja
 Masoko wa Bodi ya Utalii ya Tanzania TTB Bw. Geofrey Meena akiwa katika
 picha ya pamoja na wakurugenzi wa African Environments  Richard Beatty 
 na Janice Beatty katika maonyesho hayo.
Meneja
 Masoko wa Bodi ya Utalii ya Tanzania TTB Bw. Geofrey Meena akiwa katika
 picha ya pamoja na wakurugenzi wa African Environments  Richard Beatty 
 na Janice Beatty katika maonyesho hayo. Leila
 Ansel Mkuu wa mauzo na masoko kampuni ya Tanzania Zara Adventures 
akizungumza na mmoja wa wageni waliotembelea katika banda la kampuni 
hiyo katikati ni Rashid Adam Meneja Masoko wa Tanzania Zara Adventures.
Leila
 Ansel Mkuu wa mauzo na masoko kampuni ya Tanzania Zara Adventures 
akizungumza na mmoja wa wageni waliotembelea katika banda la kampuni 
hiyo katikati ni Rashid Adam Meneja Masoko wa Tanzania Zara Adventures. Mh.
 Peter Kallaghe Balozi wa Tanzania nchini Uingereza akizungumza na mdau 
Juma Mabakila wakati akitembelea banda la Tanzania kwenye maonyesho ya 
WTM
Mh.

WTM Meneja
 Masoko wa Bodi ya Utalii ya Tanzania TTB Bw. Geofrey Meena 
akiwasikiliza wageni mbalimbali waliofika katika banda la Tanzania 
katika maonyesho hayo leo.
Meneja
 Masoko wa Bodi ya Utalii ya Tanzania TTB Bw. Geofrey Meena 
akiwasikiliza wageni mbalimbali waliofika katika banda la Tanzania 
katika maonyesho hayo leo. Balozi Khamis Kagasheki Waziri wa  Maliasili Utalii wa
 pili kutoka kulia akizungumza na Mkurugenzi wa Masoko wa Bodi ya Utalii
 Tanzania TTB Devotha Mdachi mara baada ya kutembelea Banda la Tanzania 
katika maonyesho ya Utalii ya WTM nchini Uingereza , kulia ni Mh. Peter 
Kallaghe Balozi wa Tanzania nchini Uingereza  na katikati ni Mama 
Balozi.
Balozi Khamis Kagasheki Waziri wa  Maliasili Utalii wa
 pili kutoka kulia akizungumza na Mkurugenzi wa Masoko wa Bodi ya Utalii
 Tanzania TTB Devotha Mdachi mara baada ya kutembelea Banda la Tanzania 
katika maonyesho ya Utalii ya WTM nchini Uingereza , kulia ni Mh. Peter 
Kallaghe Balozi wa Tanzania nchini Uingereza  na katikati ni Mama 
Balozi. Mmoja
 wa washiriki kutoka kampuni ya Africa Adventure akihojiwa na kituo cha 
televisheni cha TBC katika maonyesho ya Utalii ya WTM yanayofanyika 
jijini London nchini Uingereza.
Mmoja

No comments:
Post a Comment