Rais
Jakaya Kikwete akiwa katika uwanja wa ndege wa Lindi mara baada ya
kuwasili mkoani Lindi asubuhi hii ambako anahudhuria maadhimisho ya
siku ya ukimwi duniani yanayofanyika Kitaifa kwenye uwanja wa Ilulu
mkoani humo, wadau mbaloimbali wanaojihusisha na masuala ya kupambana na
ugonjwa wa ukimwi wamejitokeza na kushiriki katika maonyesho yenye
lengo la kuelimisha na kukumbusha juu ya hatari za ugonjwa wa ukimwi na
mbinu mbalimbali za kupambana nao Kushoto ni Mama Salma mke wa Ras
Jakaya Kikwete na kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Lindi Mh. Ludovick
Mwananzila.
Kauli mbiu ya mwaka huu ni.
Rais
Jakaya Kikwete akisalimiana na Waziri wa Afya na Ustawi wa jamii Mh.
Hussein Mwinyi mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Lindi
Mkoani humo katikati ni Mh. William Lukuvi Waziri wa Nchi Ofisi ya
Waziri Mkuu , Sera na uratibu wa bunge
Rais
Jakaya Kikwete akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Lindi mjini Salum
Barwany wakati alipowasili mjini Lindi asubuhi hii kwenye uwanja wa
ndege wa Lindi.
Viongozi mbalimbali wakimlaki Rais Jakaya Kikwete kwenye uwanja wa ndege wa Lindi mkoani Lindi leo asubuhi hii
"Tanzania Bila Maambukizi mapya, Unyanyapaa na vifo vitokanavyo na Ukimwi Inawezekana"PICHA NA FULLSHANGWEBLOG.COM
No comments:
Post a Comment