Pages


Photobucket

Monday, December 24, 2012

ABIRIA WANUSURIKA KIFO KATIKA AJALI YA BASI LA NEW FORCE NA FUSO ENEO LA INYALA PIPE LINE MBEYA

ZAIDI YA ABIRIA 40 WALIOKUWEMO KWENYE BASI LA NEW FORCE WAMENUSURIKA KIFO BAADA YA KUGONGANA NA ROLI AINA YA FUSO MAENEO YA PIPE LINE INYALA  BASI LA NEW FORCE LILIKUWALINATOKEA MBEYA KUELEKEA DSM 

Hili roli aina ya fuso ndilo lililosababisha ajali hiyo kwani lilikuwa lilikuwalinalipita gari lingine bila ya kuangalia kama gari nyingine inashuka mlima na ndipo lilipokutana na basi hilo
Hii ndiyo hali halisi ya ajali hiyo dreva wa fuso kakimbia baada ya kusababisha ajali hiyo
Mtoto Samwelli akisimulia jinsi ajali hiyo ilivyotokea kwani yeye alikuwa nyuma ya dereva  amesema yeye mkanda ndiyo uliomuokoa kwani mama aliyekuwa jirani yake hakufunga mkanda ameumia vibaya sana 

Badhi ya abilia waliokuwa kwenye basi hilo wakisubiri usafiri mwingine toka katika kampuni ya new force
Baadhi ya mjeruhi hao wameruhusiwa baada ya kupata matibabu



Kaimu Mkurugenzi wa Hospitali ya Rufani ya Mbeya, Dk. Hamfrey Kiwelu, aliyesimama amesema wamepokea majeruhi 24 na kati ya hao 17 wameruhusiwa baada ya kupata matibabu na majeruhi 7 wamelazwa hospitalini hapo kuendelea na matibabu 

No comments:

Post a Comment