![]() |
| UWANJA WA NDEGE SONGWE MBEYA UMEANZA KUFANYA KAZI LEO NDEGE ZAIDI YA TATU ZATUA UWAJANI HAPA |
| ABIRIA AKISHUKA TOKA NDANI YA NDEGE ZILIZOTUA UWANJANI HAPO |
| MWANDISHI WA HABARI KAMANGA WA BLOG YA MATUKIO AKISHUKA TOKA KATIKA NDEGE KUZINDUA UWANJA HUO |
| BAADHI YA WTUMISHI WA UWANJA HUO WAKISHUSHA MIZIGO TOKA KATIKA NDEGE |
| BAADHI YA ABILIA WALIOSHUKA UWANJANI HAPO |
| MAMA HELLEN LAIA WA UGANDA AKIFURAHIA KUTUA KATIKA KIWANJA HICHO CHA SONGWE MBEYA |
| MWENSHIMIWA DIWANI WA KATA YA SISIMBA G. KAJIGIRI AKISUBIRI MGENI WAKE TOKA DSM |
| MOJA YA MAAFISA WA UHAMIAJI UWANJANI HAPO |


No comments:
Post a Comment