Pages


Photobucket

Saturday, December 29, 2012

Waziri Mkuu Ahimiza Maendeleo Jimboni Katavi.



Mh Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa anapata maelezo kutoka kwa mtalamu wa Tanesco makao makuu Eng. Tumaini Temu kuhusu jinsi jenereta walil lifunga linavyofanya kazi katika kuzalisha umeme katika kijiji cha Kibaoni.kushoto kwa waziri mkuu ni tekinisheni  wa Tanesco Bibi.Salama Mpera.

Mh Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa anakagua kibanda kilichojengwa kwa ajili ya kuweka jenereta la kufua umeme katika kijiij cha Kibaoni Katavi   Mh.waziri mkuu yupo katika ziara ya kukukagua shughuli za maendeleo na mapumziko ya Krismasi na mwaka mpya kijijini kwao Kibaoni Katavi.
Mh.Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa katika shamaba lake katika kijiji cha Kibaoni Katavi akiangalia mahindi yalivyostawi.
Bwana Godfrey Pinda ambaye ni mdogo wa Mh Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa anamwelezea Waziri Mkuu kuhusu anavyolima kilimo cha mananasi minazi katika shamba lake katika kijiji cha Kibaoni Katavi  Waziri mkuu yupo katika jimbo lake la Katavi katika kukagua shughuli za maendeleo pamoja na mapumziko ya Krismasi na mwaka mpya.
 
(Picha na Chris Mfinanga).

No comments:

Post a Comment