Mwimbaji
wa Nyimbo za Injili,Rose Muhando akitumbuiza kwenye Tamasha la shangwe
Kagera katika uwanja wa Kaibata mjini Bukoba mwishoni mwa wiki,tamasha
hilo lililoandaliwa na Kampuni ya Beula Communication kwa ajili ya
kusaidia watoto wanaoishi katika mazingira magumu katika mkoa wa Kagera.
Mwimbaji
wa Nyimbo za Injili,Enock Jonas(Zunguka) akitumbuiza kwenye Tamasha la
shangwe Kagera katika uwanja wa Kaibata mjini Bukoba mwishoni mwa
wiki,tamasha hilo lililoandaliwa na Kampuni ya Beula Communication kwa
ajili ya kusaidia watoto wanaoishi katika mazingira magumu katika mkoa
wa kagera
Mkurugenzi
wa Beula Communication,Melkzedek Mutayabarwa akizungumza kwenye
Tamasha laShangwe Kagera,ambapo kampuni hiyo ndio iliyoandaa tamasha
hilo.
Mkuu
wa Wilaya Bukoba,Zippora Pangani akihutubia kwenye Tamasha la shangwe
Kagera katika uwanja wa Kaibata mjini Bukoba mwishoni mwa wiki,tamasha
hilo lililoandaliwa na Kampuni ya Beula Communication kwa ajili ya
kusaidia watoto wanaoishi katika mazingira magumu katika mkoa wa kagera.
Waimbaji wa kwaya ya Vijana ya KKKT Usharika wa kanisa Kuu la Mjini Bukoba wakitumbuiza kwenya tamasha la Shangwe Kagera.
Rose Muhando akiwaburudisha viongozi walioudhuria Tamasha la Shangwe Kagera katika Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba.
Masista
wa Kituo cha Tumaini Children’s Centre, Sr.Adventina
Kyamanywa(kushoto)na Sr.Esther wakijadiliana jambo wakati wa tamasha
la shangwe Kagera katika viwanja vya Kaitaba mjini Bukoba.
Mchungaji
Edward Mutashobya akisalimiana na Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Rose
Muhando wakati wa tamasha la shangwe Kagera katika viwanja vya Kaitaba
mjini Bukoba.
Mashabiki mbalimbali waliohudhuria tamasha la Shangwe lililofanyika katika uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba
No comments:
Post a Comment