Pages


Photobucket

Friday, December 14, 2012

Rais wa Zanzibar Dr Ali Shein Akutana na Uongozi wa Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais Zanzibar


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais,katika utekelezaji wa kazi za Ofisi hiyo katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar,( kulia) Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad,na Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi,pia Katibu Mkuu Kiongozi Dk.Abduhamid Yahya Mzee,(kushoto)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais,katika utekelezaji wa kazi za Ofisi hiyo katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar.Picha na RamadhanOthman,Ikulu-Zanzibar

No comments:

Post a Comment