Mwanamke mmoja amejikuta katika wakati mgumu baada ya kujifungua mtoto mwenye uso na kichwa kama chura.
Akiongea
kwa huruma, mume wake amedai kuwa kuna mkono wa mtu. maana nyoka
hawezi kuzaa ng'ombe na kondoo hawezi kuzaa samaki.Mwanamke
huyo ambaye ni mama wa watoto wawili amedumu na mimba hiyo kwa
miezi 13.Wengi waliamini kuwa mama huyo alikuwa na mimba ya
mapacha
Yeye pamoja na mkewe wameamua kumwachia mungu na kwamba wapo tayari kumlea mwanao japo ana kichwa cha chura.
Yeye pamoja na mkewe wameamua kumwachia mungu na kwamba wapo tayari kumlea mwanao japo ana kichwa cha chura.
No comments:
Post a Comment