Pages


Photobucket

Tuesday, December 11, 2012

RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AKUTANA NA UONGOZI WA WIZARA YA KAZI,UWEKEZAJI WANANCHI KIUCHUMI NA USHIRIKA


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kazi,Uwezeshaji Wananchi, Kiuchumu na Ushirika,katika utekelezaji wa Mpango wa kazi za Wizara hiyo katika  Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar. Picha  na Ramadhan   Othman,IKULU.

No comments:

Post a Comment