Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Mwenyekiti wa CHADEMA na Kiongozi wa
Upizani Bungeni, Freeman Mbowe katika mazishi ya Kisa Gwalugano
Mohamed,Mke wa Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid yaliyofanyika kwenye
makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam Novemba 29,2012.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa
Zanzibar, Seif Sharif Hamad katika mazishi ya Kisa Gwalugano hamad, Mke
wa Mbunge wa Wawi yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kisutu jijini Dar es
salaam Novemba 29,2012. Kushoto ni Waziri Mkuu Mstaafu, Salim Ahmed
Salim na Wapili kulia ni Waziri wa NchiOfisi ya Waziri Mkuu, William
Lukuvi.
Waziri
Mkuu, Mizengo pinda akisalimiana na Mwenyekiti wa CUF,Ibrahim Lipumba
katika mazishi ya Kisa Gwalugano Hamad , mke wa mbunge wa Wawi, Hamad
Rashid yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam
Novemba 29,2012.Kushoto ni Waziri Mkuu Mstaafu, Salim Ahmed Salim, Wanne
kulia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Seif Sharif hamad Watatu
kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu William Lukuvi na kulia
ni Kiongozi wa UpinzaniBungeni, Freeman Mbowe.
Waziri
Mkuu,Mizengo Pinda akiwa na baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa na
serikali katika mazishi ya Kisa Gwalugano Mohamed, mke wa Mbunge wa
Wawi, Hamad Rashid yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kisutu jijini Dar es
salaam Novemba 29,2012. Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa UDP, John
Cheyo,Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba, Waziri Mkuu Mstaafu,
Salim Ahmed Salim, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Seif Sharif
Hamad, Waziri wa Nchi Ofisi yaWaziri Mkuu, William Lukuvi na Mwenyekiti
wa Chadema, Freeman Mbowe.
Waombolezaji
wa wakiuzika mwili wa marehemu Kisa Gwalugano Mohamed yaliyofanyika
kwenye makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam, Novemba 29,2012
Waziri
Mkuu Mizengo Pinda na viongozi wa vyama vya siasa na serikali
wakimfariji, Mbunge wa Wawi, Hamd Rashid (wapili kulia) katika mazishi
ya mkewe, Kisa Gwalugano Mohamed yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kisutu
jijini Dar es salaam, Novemba 29,2012. Kushoto ni mwenyekiti wa CUF,
Profes Ibrahim Lipumba. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
No comments:
Post a Comment