Pages


Photobucket

Sunday, December 23, 2012

AJALI !!! AJALI !!!, BASI LAPINDUKA , NI NJE KIDOGO YA CHALINZE...



Basi limedondoka Mboga nje kidogo ya Chalinze. Hakuna aliyefariki ila wapo majeruhi. Basi lilikuwa linatokea Pangani, Tanga kwenda Dar es Salaam

Baada ya basi kupinduka

Baadhi ya abilia wakitolewa kwenye gari baada ya kupata ajari basi ilo lilikua linatokea Pangani. Tanga kuelekea Dar es salaam
 
Abilia wakiwa nje ya gari baada ya kupata ajari ila jambo la kumshukuru mungu hakuna mtu aliyefariki

PICHA NA  JAMII FORUMS

No comments:

Post a Comment