Pages


Photobucket

Thursday, December 13, 2012

Kipa wa Uganda, Dhaira atia saini kuichezea Simba SC


  Kulia, Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe akizungumza na kipa namba moja wa Uganda, Abbel Dhaira (kushoto). Mwingine ni Katibu wa Simba SC, Evodius Mtawala wakati kipa huyo alipokuwa akisaini mkataba wa miaka miwili kuichezea Simba SC usiku wa Desemba 12, 2012 katika hoteli ya JB Belmonte, katikati ya Jiji la Dar es Salaam.
Wakala wa Dhaira akihesabu fedha
Dhaira akisaini mkataba mbele ya Katibu wa Simba SC, Evodius Mtawala.
Dhaira anatia dole gumba
Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe kushoto akiwa na kipa namba moja wa Uganda, Abbel Dhaira wakati akisaini mkataba wa miaka miwili kuichezea Simba SC.
Hans Poppe na Dhaira
(picha zote, shukurani kwa blogu ya BongoStaz)
 
 
 

No comments:

Post a Comment