Pages


Photobucket

Thursday, September 5, 2013

RAISI KIKWETE USO KWA USO NA RAISI KAGAME JIJINI KAMPALA LEO

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Rais Paul Kagame wa Rwanda wakati walipokutana faragha sambamba na mkutano wa wakuu wa nchi za Maziwa Makuu uliofanyika katika Hoteli ya Munyonyo Commonwealth Resort, jijini Kampala,Uganda.
 Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Rais Paul Kagame wa Rwanda wakati walipokutaba na kufanya mazungumzo ya faragha, katika Hoteli ya Munyonyo Commonwealth Resort, jijini Kampala, Uganda.Picha na Freddy Maro

No comments:

Post a Comment