Pages


Photobucket

Friday, September 13, 2013

HAPATOSHI.....; AUNT EZEKIEL vs IVON

Mwenyezi Mungu akujaalie upone 
huko mitaani kumekucha
nimeweka hii pic makusudi
maana oooh kapigwa risasi
binaadamu bwana sasa hii ndio risasi
msikuze mambo 
Aunt Ezekiel

Ivon
Sina la kusema  maana lipo ki police zaidi ila nataka kuwaambia tu kwamba both are my girlz nawatakia kila la kheri waweze kumaliza, at times kinywaji kinaweza kikakufanya ukafanya vitu usivyovielewa ila wapendwa hawa watafika pale ninapopataka once n for all

Inshallah Mungu ataleta kheri 

to you my dear Aunt Ezekiel find your heart to forgive, because if you forgive those who have hurt you, definitely  you take away their power. we all do mistakes!!!!

ALL THE BEST LOVIES.

No comments:

Post a Comment