Pages


Photobucket

Tuesday, September 17, 2013

Mwanajeshi wa Marekani na mkewe wanaswa na polisi. Guess walikuwa wanafanya nini na mbwa

amber-nicole-fox
Mwanajeshi wa jeshi la Marekani, Ruben Chance James Fox na mkewe, Amber Nicole Fox, wote wenye umri wa miaka 23 wamekamatwa na polisi katika mji wa Raeford, North Carolina na kufunguliwa mashitaka ya uhalifu kinyume na asili, na kusambaza video chafu.
Wanandoa hao wameshitakiwa kwa kosa la kufanya ngono na mbwa na kurekodi video wakifanya vitendo hivyo, na kusambaza mitandaoni. Polisi wamesema.
Mrembo huyo, Amber Fox pia aliongezewa mashitaka la kuwashawishi mbwa hao kumfanyia matendo kinyume na asili. Mumewe Ruben, ni mwanajeshi wa kikosi cha jeshi la Marekani namba 82 Airborne cha Fort Bragg.
Kwa mujibu wa maofisa wa polisi, kikosi cha uhalifu wa mitandaoni wa jimbo la Virginia waliwasiliana na maofisa hao wiki mbili zilizopita baada ya video zinazoonyesha mwanamke huyo na mume wake wakifanya ngono na mbwa wao wawili kusambaa mitandaoni. Wanandoa hao wanadaiwa kurekodi video hizo nyumbani kwao na kushare kupitia website.
Polisi wamekusanya computer na video cameras kutoka nyumbani kwa washtakiwa kwa uchunguzi zaidi. Pia wamechukua mbwa wawili na paka watatu wanaomilikiwa na washtakiwa na kuwaweka katika nyumba maalum ya wanyama.
Washtakiwa wametajiwa dhamana ya dola $15,000 (sawa na takriban TShs milioni 25)

No comments:

Post a Comment