Pages


Photobucket

Friday, September 13, 2013

HII NDIO TATOO ALIYO CHORA AMBER ROSE {usoni}AMBAYO WADAU WASEMA KUWA NI YA IMANI YA DINI YA KISHETANI


Wiki Iliyopita Amber alionyesha picha iliyoshangaza wengi baada ya kuona Tatto ya msalaba kwenye paji lake la uso, Msalaba huo unaonekana ukiwa umechorwa tofauti, Juni ni Chini na chini pamekuwa juu. Mashabiki wa Amber walikuwa mstari wa mbele kwenye kuliza maswali kuhusu mchoro huo bila kupata majibu wala maelezo kutoka kwa Amber ambaye ni mama mtoto wa Rapper Wiz Khalifa. 
Mpaka sasa tafsiri ya wengi imekuwa inahusisha mchoro huo na imani za kishetani.


No comments:

Post a Comment