Pages


Photobucket

Monday, September 2, 2013

Miss Tanzania 2012 Brigitte Alfred aenda kwenye kambi ya Miss World, Indonesia



 
Picture: Miss Tanzania 2012 Brigitte Alfred
Mama na Mwana....Miss Tanzania Brigitte Alfred Lymo na mama yake kabla ya kuruka kwenda Indonesia hii leo.
Mwakilishi wa Tanzania katika mashindano ya Urembo ya Dunia, Miss Tanzania 2012, Brigitte Alfred Lymo, ameondoka nchini leo kwenda nchini Indonesia katika kambi ya Miss World 2013.

Akiongea na waandishi wa habari katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam jioni hii muda mfupi kabla ya kuondoka nchini, Brigitte ameahidi kufanya vyema katika mashindano hayo huku akiwaomba Watanzania kumpa-support kwa kumpigia kura pindi zoezi hilo litakapoanza kupitia tovuti ya Miss World.

Sou

No comments:

Post a Comment