Pages


Photobucket

Friday, September 13, 2013

WAFANYAKAZI WA VODACOM LEO WASHEREHEKEA WEEKEND YAO NA MWANAMUZIKI J MARTINS KUTOKA NIGERIA PAMOJA NA AY TOKA TANZANIA


DSC_0535
Ijumaa ya leo Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wajumuika pamoja na msanii maarufu kutoka Nigeria Justice Martin ( J Martins pamoja na mwanamuziki toka Tanzania AY ( Ambwene Yesaya ) katika kumaliza weekend yao ikiwa pia ni siku BOMBASTIKI  katika product mpya hii ya CHEKA BOMBASTIKI.Aidha mwanamuziki huyu ameishukuru Vodacom Foundation kwa kazi nzuri ambayo wameifanya katika kusaidia jamii katika mazingira mbalimbali. Akiongea na wafanya kazi wa vodacom alisema hata yeye ana foundation yake inayomsaidia mtoto wa kiafrika na  anafurahishwa sana kuona Vodacom Foundation imeweza kufika hapo ilipo.
DSC_0528
Mwanamuziki J Martins akizungumza na wafanya kazi wa Vodacom Tanzania
DSC_0550
J Martin`s akizungumza na wafanyakazi wa Vodacom
DSC_0560
J martins akichezesha raffle  ndani ya Vodacom
DSC_0572
Na mshindi akapatikana
DSC_0584
J martins akisaini CD ya mmoja wa washindi wa Vodacom Tanzania
DSC_0578
Na mshindi wa Ipad akapatikana
DSC_0544
Ambwene Yessaya pia alikuwepo kuweza kutoa burudani motomoto (  Cheza Bila kukunja goti )
DSC_0547
AY akionyesha naman ya kucheza bila kukunja goti.
DSC_0658
J Martins pia hakuacha kutembelea  customer care ya Vodacom .

No comments:

Post a Comment