Pages


Photobucket

Tuesday, September 17, 2013

KENYA YAPIGA HATUA TAZMA PICHA ZA NDEGE YAO MPYA 'BOEING' 777-300 ER .

clip_image001Shirika la ndege la Kenya ‘Kenya Airways’ linatarajia kupokea ndege mpya ya Boeing 777-300ER mwezi ujao (October) ikiwa ndio ndege kubwa zaidi ya shirika hilo ambalo pia hufanya safari za kuja Tanzania.                                                  Boeing 777-300ER ina uwezo wa kubeba abiria 400.

Tazama picha za ndege hiyo ikiwa kiwandani wakati wa inaundwa maalum kabisa kwa ajili ya Kenya Airways
Picha: Nairobi Wire

No comments:

Post a Comment