Pages


Photobucket

Tuesday, September 17, 2013

WANAFUNZI WA KIKE EPUKENI MAFATAKI".....MAMA SALMA KIKWETE


MKE wa Rais Mama Salma Kikwete amewataka wanafunzi wa kike kujiepusha na 'mafataki' wanaotaka kuwarubuni kwa vitu mbalimbali ili kujikinga na hatari ya kupata ujauzito na ugonjwa wa Ukimwi na kusababisha kutofikia malengo katika maisha yao.

No comments:

Post a Comment