| Baada ya kuwasili uwanja wa ndege Zanzibar |
| Akifanya mahojiano na waandishi wahabari. |
| Mashabiki wakisubiri kwa hamu kumwona the president |
| Akizungumza na mashabiki wake wa zanzibar ndani ya kituo kikubwa kabisa cha Radio Zanzibar.Coconut Radio |
| Baadae alikutana na waandishi wa habari ndani ya hotel ya kisasa kabisa,Zanzibar beach lesort |
| Wanahabari kazini |

No comments:
Post a Comment